Skip to main content

Kamanda Mkuu wa Vikosi vya UNAMID anazingatia hali Darfur

Kamanda Mkuu wa Vikosi vya UNAMID anazingatia hali Darfur

Shirika Mseto la Uangalizi Amani la UM/UA kwa Darfur (UNAMID) limeidhinishwa na Baraza la Usalama kukusanya wanajeshi 20,000 na polisi 6,000 wanaohitajika kusimamia operesheni zake za kuruidisha utulivu katika jimbo hilo la uhasama katika Sudan Magharibi.

Sikiliza mahojiano hayo kwenye idhaa ya mtandao ya Redio ya UM.