Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF kuisaidia Guinea-Bissau kudhibiti kipindupindu

UNICEF kuisaidia Guinea-Bissau kudhibiti kipindupindu

Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo kwa Watoto (UNICEF) linaisaidia Wizara ya Afya ya Guinea-Bisssau kudhibiti janga la maradhi ya kipindupindu yalionekana kuenea kwa kasi katika siku za karibuni tangu yalipogunduliwa awali mwezi Mei.