Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usomali itahitajia misaada ya chakula kuepusha janga la utapiamlo, yahadharisha UNICEF/FAO

Usomali itahitajia misaada ya chakula kuepusha janga la utapiamlo, yahadharisha UNICEF/FAO

Christian Balslev-Olesen, Mwakilishi kwa Usomali wa Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo kwa Watoto (UNICEF), amenakiliwa akisema tatizo la utapiamlo Usomali ni suala lenye utata mkubwa kuhudumiwa na mashirika ya kimataifa.