Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO imeonya lengo la kudhibiti vifo vya uzazi halibashirii kukamilishwa kwa wakati

WHO imeonya lengo la kudhibiti vifo vya uzazi halibashirii kukamilishwa kwa wakati

Shirika la Afya Duniani (WHO) limedhihirisha kwamba kuna mzoroto mkubwa wa utekelezaji wa lengo la tano la Maendeleo ya Milenia (MDGs) katika nchi masikini, yaani lile lengo la kupunguza vifo vya uzazi kwa robo tatu katika 2015.