Sheria ya adhabu ya kifo Liberia inatengua kanuni za kimataifa, kuhadharisha Kamati ya Haki za Binadamu
Kamati ya UM juu ya Haki za Bindamu imearifu kuingiwa wasiwasi kufuatia ripoti yenye kubainisha kwamba katika Ijumanne ya Julai 22, 2008 Raisi Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alitia sahihi sheria ya kuhalalisha hukumu ya kifo kwa makosa fulani ya uhalifu.