27 Agosti 2008
Ijumanne Baraza la Usalama lilitoa taarifa kwa waandishi habari kuhusu Burundi, iliosomwa na Balozi Jan Grauls wa Ubelgiji, Raisi wa Baraza kwa mwezi Agosti.