Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

DESA inatathminia Hali ya Uchumi na Jamii Duniani kwa 2008

DESA inatathminia Hali ya Uchumi na Jamii Duniani kwa 2008

Ripoti ya UM juu ya Uchunguzi wa Jumla wa Uchumi na Hali za Jamii Duniani kwa 2008, iliowasilishwa rasmi tarehe 01 Julai, imehadharisha kwamba hali mbaya za ajira inayoregarega zinasumbua sana maisha ya umma summa katika kila pembe ya dunia. Mada ya ripoti ya mwaka huu ilitilia mkazo kauli mbiu isemayo "tuushinde uchumi usio madhubuti".

Sikiliza mukhtasari wa ripoti kwenye idhaa ya mtandao.