Korti ya Rufaa ya ICTY imemwachia huru Kamanda wa Bosnia

Korti ya Rufaa ya ICTY imemwachia huru Kamanda wa Bosnia

Korti ya Rufaa ya Mahakama ya Kimataifa juu ya Yugoslavia ya Zamani (ICTY) imemwachia Naser Oric, aliyekuwa kamanda wa vikosi vya Waislamu wa Bosnia katika maeneo ya Srebrenica. Alituhumiwa kuzuia wanajeshi waliokuwa chini ya uongozi wake kutoangamiza vijiji 50 vya WaSerb mnamo 1992 mpaka 1993, tukio ambalo linaripotiwa lilisababisha maelfu ya watu kuhama makwao. ~