Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM ametuma kwa BU ripoti juu ya mazungumzo ya amani katika Uganda Kaskazini

KM ametuma kwa BU ripoti juu ya mazungumzo ya amani katika Uganda Kaskazini

KM amemtumia raisi wa Baraza la Usalama barua yenye kujumuisha ripoti kamili kuhusu mazungumzo ya amani ya Juba, kati ya Serikali ya Uganda na kundi la waasi la LRA. Ripoti imeandikwa na Riek Machar, Naibu Raisi wa Serikali ya Sudan Kusini, na inafanya mapitio ya hali ilvyo kieneo hivi sasa na pia kutoa mapendekzo kadha ya kusukuma mbele ratiba ya kurudisha tena utulivu na amani Uganda kaskazini.