Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR inaiomba Afrika Kusini kusitisha uhamisho wa Wazimbabwe

UNHCR inaiomba Afrika Kusini kusitisha uhamisho wa Wazimbabwe

Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limetoa mwito maalumu wenye kuinasihi Serikali ya Afrika Kusini kusitisha kitendo cha kuwaondosha nchini WaZimbabwe sasa hivi. Inasemekana katika siku za karibuni WaZimbabwe 17,000 walirejeshwa makwao bila khiyari.

Sikiliza taarifa kamili kwenye redio ya mtandao.