Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadilishano ya wafungwa baina Lebanon na Israel yamepongezwa na KM

Mabadilishano ya wafungwa baina Lebanon na Israel yamepongezwa na KM

KM Ban Ki-moon ameyakaribisha, kwa ridhaa kuu, mabadilishano ya wafungwa yaliofanyika asubuhi ya Julai 16, baina ya Israel na kundi la Hizb’Allah la Lebanon, baada ya miezi kadha ya usuluhishi ulioongozwa na UM.