Skip to main content

BK lahimiza mchango wa jumla kukabiliana a matatizo ya chakula na nishati

BK lahimiza mchango wa jumla kukabiliana a matatizo ya chakula na nishati

Mijadala inaendelea wiki hii kwenye ukumbi wa Baraza Kuu (BK) kuzingatia hatua za kuchukuliwa kukabiliana na mizozo ya nishati na chakula ulimwenguni. Kikao kilianzisha majadailiano wiki iliopita.