Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ECOSOC imekamilisha kikao cha mwaka

ECOSOC imekamilisha kikao cha mwaka

Baraza la UM juu ya Uchumi na Jamii (ECOSOC) Ijumaa lilikamilisha mkutano wa mwaka, wa msingi, uliofanyika Makao Makuu ya UM mjini New York. Mkutano ulichukua karibu mwezi mmoja, na kwa mara ya kwanza wajumbe waliokusanyika mkutanoni walifanyisha kikao maalumu cha Halmashauri ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiufundi (DCF).

katika mji wa Accra, Ghana mwezi Septemba na mnamo mwisho wa Novemba katika Doha, Qatar.