Skip to main content

Mazungumzo ya WTO yamevurugika kwa ukakamavu bila maridhiano kuhusu bidhaa za kilimo

Mazungumzo ya WTO yamevurugika kwa ukakamavu bila maridhiano kuhusu bidhaa za kilimo

Pascal Lamy, Mkurugenzi-Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) baada ya siku tisa za majadiliano, Ijumatano aliwaambia waandishi habari Geneva ya kuwa wajumbe mawaziri, wa kutoka nchi wanachama kadha, walishindwa kufikia maafikiano ya ule mradi unaohusu biashara ya bidhaa za kilimo kutokana na ukakamavu wa baadhi ya mataifa makubwa.