Mzalendo wa Nicaragua kateuliwa Raisi wa 63 wa Baraza Kuu la UM

Mzalendo wa Nicaragua kateuliwa Raisi wa 63 wa Baraza Kuu la UM

Baraza Kuu la UM Ijumatano limemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Nicaragua, Miguel d’Escoto Brockmann, bila ya upinzani, kuwa Raisi wa kikao cha 63 cha Baraza hilo kuanzia tarehe 16 Septemba 2008 pale litakapoanza shughuli zake. ~~