Mkutano wa kuzingatia udhibiti bora wa UKIMWI kuanza rasmi Makao Makuu

10 Juni 2008

Baraza Kuu la UM leo limeanzisha rasmi, Mkutano Mkuu wa Hadhi ya Juu wa siku mbili, kuzingatia maendeleo katika utekelezaji wa yale mapendekezo ya UM ya 2001 na 2006 yaliokusudiwa kudhibiti bora janga la UKIMWI duniani.

Tutakupatieni ripoti zaidi juu ya kikao hiki baadaye katika wiki.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter