Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR kukaribisha uamuzi wa Misri kuruhusu wahamiaji wanaosubiri hifadhi ya kisiasa kutembelewa na UM

UNHCR kukaribisha uamuzi wa Misri kuruhusu wahamiaji wanaosubiri hifadhi ya kisiasa kutembelewa na UM

UNHCR imeripoti kukaribisha uamuzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri wa kuiruhusu UM, bila pingamizi, kuzuru wale raia wa kigeni waliowekwa kwenye vituo vya kufungia watu vya idara ya uhamiaji, wakati wakisubiri jawabu ya maombi ya kupatiwa hifadhi ya kisiasa.