Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Takwimu za UNHCR zaonyesha kukithiri wahamiaji waliongo'lewa makwao 2007

Takwimu za UNHCR zaonyesha kukithiri wahamiaji waliongo'lewa makwao 2007

Antonio Guterres, Kamishna Mkuu wa Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) ambaye yupo London kuwasilisha ripoti ya uchunguzi kuhusu hali ya wahamiaji duniani alisema Ijumanne kuwa ana wasiwasi juu ya kukithiri sana hivi karibuni, kwa idadi ya wahamiaji katika ulimwengu.

Sikiliza taarifa ziada kwenye idhaa ya mtandao.