Skip to main content

Mtaalamu wa UM ameripoti kuridhishwa na udhibiti wa homa ya ndege duniani

Mtaalamu wa UM ameripoti kuridhishwa na udhibiti wa homa ya ndege duniani

Dktr David Nabarro, Mshauri wa UM kuhusu Homa ya Mafua ya Ndege ameripoti kwamba kuna baadhi ya mataifa ulimwenguni ambayo bado yanaendelea kusumbuliwa na tatizo la mifumko ya hapa na pale ya homa ya ndege.