Skip to main content

Kilimo bora ni ngome imara dhidi ya njaa Afrika, anasihi Diouf

Kilimo bora ni ngome imara dhidi ya njaa Afrika, anasihi Diouf

Jacques Diouf, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) aliwaambia wajumbe waliohudhuria kikao cha 25 cha FAO kuhusu ukanda wa Afrika, kinachofanyika Nairobi, kwamba bidii ya kisiasa ikichanganyika na utawala bora ndio kadhia zenye ufunguo imara wa kukuza sekta ya kilimo na kukithirisha uzalishji wa mavuno yatakayosaidia kuhudmia chakula umma na kukomesha matatizo ya njaa kwa ujumla, barani Afrika. ~