Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wapatanishi wa UM/UA kwa Darfur wapendekeza kuteuliwe Mjumbe Maalumu mpya

Wapatanishi wa UM/UA kwa Darfur wapendekeza kuteuliwe Mjumbe Maalumu mpya

Wapatanishi wa UM na UA kwa Darfur, yaani Jan Eliasson na Salim Ahmed Salim waliwakilisha ripoti zao mbele ya Baraza la Usalama Ijumanne, kwenye kikao cha hadhara kilichosailia hali, kijumla, katika eneo hili la Sudan magharibi.

Sikiliza taarifa kamili kwenye idhaa ya mtandao.