BU kuipongeza Guinea-Bissau kupiga vita biashara haramu ya madawa ya kulevya

BU kuipongeza Guinea-Bissau kupiga vita biashara haramu ya madawa ya kulevya

Ijumatano Baraza la Usalama lilizingatia ripoti ya KM kuhusu hali katika Guinea-Bissau, kwa ujumla. Miongni mwa masuala yaliopewa usikizi mkubwa ilikuwa na tatizo la kutanda kwa biashara ya madawa ya kulevya kieneo.