Skip to main content

Mpatanishi bia kwa Darfur wa AU anasailia juhudi za kurudisha amani

Mpatanishi bia kwa Darfur wa AU anasailia juhudi za kurudisha amani

Ijumanne, tarehe 24 Juni, wapatanishi wa kimataifa, Jan Eliasson akiwakilisha UM pamoja na Salim Ahmed Salim, akiwakilisha UA, waliwasilisha ripoti zao maalumu mbele ya Baraza la Usalama, juu ya juhudi zao shirika za kuandaa mazingira yafaayo kuzungumzia suluhu ya tatizo la Darfur.

Mtayarishaji vipindi, AZR, alipata fursa ya kuzungumza na Dktr Salim Ahmed Salim kuhusu hali halisi hivi sasa katika Darfur, na kiwango walichofikia kwenye juhudi zao za upatanishi.

Sikiliza dokezo ya mazungumzo katika idhaa ya mtandao.