Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya Kumbukumbu ya Kumaliza Biashara ya Utumwa Ulimwenguni (Sehemu ya II)

Siku ya Kumbukumbu ya Kumaliza Biashara ya Utumwa Ulimwenguni (Sehemu ya II)

Katika makala iliopita, tulimsikiliza Mjumbe wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika UM, Balozi Augustine Mahiga akitufafanulia maana halisi ya hii Siku ya Kumbukumbu ya Kumaliza Biashara ya Utumwa Ulimwenguni, kwa wanachama wa Umoja wa Afrika.

Sikiliza kwenye redio ya mtandao sehemu ya mwisho ya mahojiano na Balozi Augustine Mahiga wa Tanzania kuhusu Siku ya Kumaliza Biashara ya Utumwa Ulimwenguni.