Ongezeko la VVU Afrika laitia wahka Benki Kuu ya Dunia

Ongezeko la VVU Afrika laitia wahka Benki Kuu ya Dunia

Benki Kuu ya Dunia imetoa ripoti mpya leo inayoyahimiza mataifa ya Afrika kutopwelewa abadan kwenye zile juhudi za kudhibiti maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI kwenye maeneo yao.