Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

50,000 wafariki, kupotea au kufukiwa na vifushi Uchina kufuatia zilzala

50,000 wafariki, kupotea au kufukiwa na vifushi Uchina kufuatia zilzala

UM umerpoti kwamba kwa kulingana na taarifa ilizopkea kuhusu hali katika Jimbo la Sichuan, Uchina baada ya zilzala kupiga Ijumatatu, inakadiriwa jumla ya watu 50,000 walifariki, kupotea au kufunikwa chini ya vifusi vya majumba yaliobomolewa na mishindo ya tetemeko la ardhi.