KM anafuatilia vurugu liliofumka dhidi ya wageni Johannesburg

KM anafuatilia vurugu liliofumka dhidi ya wageni Johannesburg

Msemaji wa KM, Michele Montas aliwaambia wanahabri kwamba KM Ban Ki-moon anafuatilia vurugu liliozuka Afrika Kusini karibuni ambapo watu wageni walihujumiwa na wenyeji katika eneo la Johannesburg, Afrika Kusini. Alisema ansikitishwa na mauaji yaliohusikana na tukio hili.