FAO imeonya, milioni 2.6 Usomali wakabiliwa na janga la njaa
Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) limeripoti kwamba mazingira ya kiutu nchini Usomali yanaendelea kuharibika, kwa kasi isiovumilika na ya kutisha sana kwa sababu ya mambo matatu -