Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ECOSOC inasema, ukuzaji wa kilimo ndio suluhu tegemeo dhidi ya mgogoro wa chakula duniani

ECOSOC inasema, ukuzaji wa kilimo ndio suluhu tegemeo dhidi ya mgogoro wa chakula duniani

Ijumanne alasiri Baraza la UM kuhusu Maendeleo ya Uchumi na Jamii (ECOSOC) lilianzisha kikao maalumu cha siku mbili, kufuatilia na kuzingatia suluhu ya tatizo la chakula liliozuka duniani karibuni.