Skip to main content

Mashambulio ya kuchukia wageni Afrika Kusini yaiitia 'wasiwasi' UNHCR

Mashambulio ya kuchukia wageni Afrika Kusini yaiitia 'wasiwasi' UNHCR

Jennifer Pagonis Msemaji wa Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) leo asubuhi aliwaambia waandishi habari katika Ofisi za UM mjini Geneva kwamba tuna wahka mkuu kuhusu usalama wa wahamiaji waliopo Afrika Kusini kwa sababu ya mashambulio ya chuki yaliotukia karibuni dhidi ya wageni.~~

Sikiliza taarifa kamili kwenye idhaa ya mtandao.