Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afrika ya Kusini kuongoza Baraza la Usalama katika Aprili

Afrika ya Kusini kuongoza Baraza la Usalama katika Aprili

Ijumanne Afrika ya Kusini imekabidhiwa rasmi madaraka ya Uraisi wa Baraza la Usalama kwa mwezi Aprili, kufuatia Shirikisho la Urusi, taifa ambalo limekamilisha muda wake tarehe 31 Machi.

Sikiliza kauli ziada ya Balozi Kumalo kwenye idhaa ya mtandao.