2 Aprili 2008
UM wiki hii umepokea ripoti za kushtusha zilizoelezea kwamba makundi ya waasi yameonekana karibuni yakiingia na kutoka kwenye maeneo ya mipakani kati ya Chad/Sudan harakati ambazo zinabashiriwa huenda zikachochea mapigano mapya kwenye sehemu hizo za nchi.