Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Benki Kuu ya Dunia kupendekeza 'makubaliano mapya' dhidi ya njaa na utapiamlo

Benki Kuu ya Dunia kupendekeza 'makubaliano mapya' dhidi ya njaa na utapiamlo

Raisi wa Benki Kuu ya Dunia, Robert Zoellick kwenye hotuba aliyoitoa Ijumatano mkutanoni Washington DC alipendekeza kuanzishwe \'makubaliano mapya\' na jumuiya ya kimataifa, yatakayochangisha juhudi zao kupiga vita, kwa nguvu moja, matatizo ya njaa na utapiamlo katika nchi zinazoendelea.