Dereva na msaidizi walioajiriwa na WFP wauawa Sudan Kusini
Dereva aliyeajiriwa na Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) pamoja na msaidizi wake waliuawa Ijumatatu Sudan Kusini walipokuwa wanahudumia chakula umma muhitaji wa eneo hilo.
Mwandishi habari wa Redio ya UM, kutoka Idara ya Matangazo ya Kiarabu, Samir Imtair alimhoji, kwa simu, msemaji wa WFP aliopo Khartoum, Emilia Cassella juu ya tukio hilo.
Sikiliza maelezo kamili kwenye mtandao.