Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mpatanishi wa UA asailia maendeleo kwenye juhudi za kurudisha amani Darfur

Mpatanishi wa UA asailia maendeleo kwenye juhudi za kurudisha amani Darfur

Wapatanishi wa kimataifa kwa Darfur, yaani Jan Eliasson, akiwakilisha UM na Salim Ahmed Salim akiwasilisha Umoja wa Afrika, wiki hii walikuwepo Sudan kwa duru nyengine ya mashauriano na wadau husika na tatizo la Darfur.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye mtandao.