Maendeleo ya Milenia Kijijini Mbola - Miundombinu
Katika makala zilizopita tulikupatieni fafanuzi za wataalamu, pamoja na maoni ya wanakijiji wa Mbola, kuhusu namna wanavyoshirikiana kipamoja kuhudumia miradi ya Maendeleo ya Milenia kwenye kijiji chao kilichopo mkoa wa Tabora, Tanzania. Tuligusuia huduma za maendeleo katika sekta za kilimo, afya, jamii na pia masuala mengine yanayohusikana na ustawi wa kijijini.
Sikiliza mahojiano kamili kwenye mtandao.