Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Muongezeko wa bei ya chakula duniani kuilazimu WFP kuchukuwa uamuzi wa 'kuhuzunisha'

Muongezeko wa bei ya chakula duniani kuilazimu WFP kuchukuwa uamuzi wa 'kuhuzunisha'

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeripoti kukabiliwa hivi sasa na uamuzi wa \'kuhuzunisha\' kuhusu shughuli zake za kugawa misaada ya dharura kwa umma muhitaji katika sehemu mbalimbali za dunia, kwa sababu ya kupanda kwa bei za chakula na upungufu wa misaada ya fedha zinazohitajika kununua chakula kutoka soko la kimataifa.

Sikiliza ripoti kamili kwenye idhaa ya mtandao.