Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

BU linasema hali katika JKK mashariki lazima ipewe umuhimu na jamii ya kimataifa

BU linasema hali katika JKK mashariki lazima ipewe umuhimu na jamii ya kimataifa

Mjumbe Maalumu wa KM katika JKK, Alan Doss jana Ijumanne alizungumzia kikao cha faragha cha Baraza la Usalama kuhusu maendeleo kwenye shughuli za UM za kusawazisha usalama na amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (JKK) na athari zake kwa mataifa jirani.