Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

BU yazingatia masuala ya Usomali na Cote d'Ivoire

BU yazingatia masuala ya Usomali na Cote d'Ivoire

Baraza la Usalama limekutana leo asubuhi kuzingatia suala la Usomali, kufuatiwa baadaye na mashauriano kuhusu hali katika Cote d’Ivoire.