Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tume ya kuchunguza vikwazo dhidi ya Usomali imeongezewa muda na BU

Tume ya kuchunguza vikwazo dhidi ya Usomali imeongezewa muda na BU

Mapema Ijumanne, Baraza la Usalama lilipitisha, kwa kauli moja, azimio la kuongeza kwa miezi sita zaidi madaraka ya kazi kwa ile Tume ya Wataalamu Wanne wa Kimataifa wanaofuatilia utekelezaji wa Vikwazo vya Silaha dhidi ya Usomali.