Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR imeahidi kuhudumia zaidi wahamaji wenyeji Uganda kaskazini

UNHCR imeahidi kuhudumia zaidi wahamaji wenyeji Uganda kaskazini

Antonio Guterres, Mkuu wa Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) Ijumanne alizuru Uganda kaskazini ambapo aliahidi kusaidia, haraka iwezekanavyo, mamia elfu ya wahamiaji wa ndani ya nchi kurejea makwao.