UM kuanzisha operesheni za kufyeka mabomu yaliotegwa katika JKK
Shirika la MONUC linalohusikana ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (JKK) limeripoti kwamba mnamo tarehe 28 Februari UM ulianzisha operesheni maalumu za kufyeka mabomu yaliotegwa ardhini katika jimbo la Katanga.