Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

'Huduma za dharura ni muhimu kwa maendeleo Afrika' - KM

'Huduma za dharura ni muhimu kwa maendeleo Afrika' - KM

Ijumatatu, Tume Maalumu ya Kuongoza Kidharura Utekelezaji wa Malengo ya Milenia (MDGs) katika Afrika kusini mwa Sahara, ilikutana kwenye kikao chake cha pili katika Makao Makuu, ambapo kulifanyika mapitio juu ya hatua za kuchukuliwa kipamoja ili kukuza maendeleo ya eneo hilo, kwa kujumuisha pia zile taasisi zinazohusika na misaada ya kuhudumia maendeleo duniani.

Sikiliza ripoti kamili kwenye idhaa ya mtandao.