Walinzi wa amani 700 ziada kuhamishwa Eritrea
Walinzi wa amani 397 kutoka Jordan pamoja na askari 305 wa Bara Hindi waliokuwa wakitumikia Shirika la Ulinzi wa Amani Mipakani Ethiopia/Eritrea (UNMEE) wiki hii wamerejeshwa makwao, kwa muda, baada ya Serikali ya Eritrea kuinyima UM nishati ya mafuta yanayotakikana kuendeleza shughuli zake mipakani.
jimbo la Ituri.