UNIFIL kuadhimisha miaka 30 ya ulinzi wa amani Lebanon Kusini
Katika Ijumatano ya tarehe 19 Machi Vikosi vya Kulinda Amani ya Muda katika Lebanon (UNIFIL) viliadhimisha miaka 30 ya kuongoza huduma za amani katika Lebanon Kusini.
Tangu vikosi vya UNIFIL vilivyopelekwa Lebanon kusini katika 1978 wahudumia amani 270 walipoteza maisha – 12 kati ya mashujaa hawo waliuawa mwaka jana.