Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hujuma dhidi ya wahudumia misaada ya kiutu Darfur zahatarisha juhudi za kufarajia mahitaji ya kihali

Hujuma dhidi ya wahudumia misaada ya kiutu Darfur zahatarisha juhudi za kufarajia mahitaji ya kihali

Tawi la Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) nchini Sudan limetangaza taarifa inayohadharisha kwamba mashambulio dhidi ya wahudumia misaada ya kiutu katika jimbo la Darfur yamefikia kiwango kiliovuka mipaka na kisichostahamilika kamwe.