Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maafa makubwa yakaribia Usomali pakikosekana misaada ya dharura ya kimataifa

Maafa makubwa yakaribia Usomali pakikosekana misaada ya dharura ya kimataifa

Mashirika 39 ya kimataifa yanayohudumia misaada ya kiutu Usomali yametangaza onyo lenye kutahadaharisha kwamba, kutokana na hali ya wasiwasi iliojiri nchini humo hivi karibuni, kuna hatari ya kufumka maafa yasio kifani kwenye eneo hilo la Pembe ya Afrika.

Sikiliza taarifa kamili kwenye idhaa ya mtandao.