Matarajio ya watoto wanaoishi mashariki ya JKK yanavunja moyo: UNICEF
Julien Harnels, Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Watoto (UNICEF) katika JKK aliwaambia waandishi habari mjini Geneva leo hii kwamba matarajio ya siku za usoni ya watoto wanaoishi katika eneo la uhasama la Mashariki ya nchi, hayaridhishi hata kidogo na yanavunja moyo.
Sikiliza ripoti kamili kwenye idhaa ya mtandao.