Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM inawakumbuka walioangamizwa na mauaji ya halaiki

UM inawakumbuka walioangamizwa na mauaji ya halaiki

Wiki hii yote UM umeandaa matukio na tafrija kadha wa kadha, katika sehemu mbalimbali za dunia kuwaheshimu na kuwakumbuka waathiriwa wa Maangamizi ya Halaiki, hususan wale wafuasi wa dini ya Kiyahudi.