Skip to main content

Mjumbe Mpya kuongoza huduma za amani Chad na JAK ameteuliwa na KM

Mjumbe Mpya kuongoza huduma za amani Chad na JAK ameteuliwa na KM

KM ameliarifu Baraza la Usalama kuwa ameamua kumteua Victor Da Silva Angelo wa Ureno kuwa Mjumbe Maalumu wa Shirika jipya la Ulinzi wa Amani katika Chad na Afrika ya Kati (JAK) litakalojulikana kama MINURCAT.